Maoni 2

Hasani Juma Wachilo Reply

Kaka salumu umwagiliaji wake ukoje Kila siku au baada ya siku ngapi?

Salumu Masudi Abedi Reply

ina tegemea na neo kama lina unyevu wa kutosha hauta mwagilia kila siku na kama halina unyevu wa kutosha inakupasa kumwagilia kila siku utatumia chujio ya meni.